BALOZI HAMIS KAGASHEKI AKUTANA NA WATU WENYE ULEMAVU;Baba Askofu asema ni mara ya Kwanza kujumuika na Albino atoa pongezi kwa Balozi,Sheikh Haruna asema hii ni kazi na Matendo wadau tujue kuwa wapo watu wanao itaji Msaada!!!Toka1992 umoja wa Mataifa uwa nashughuli ya kuwatambua walemavu Duniani
Ndg Sulum Mlemavu wa Ngozi
Viongozi mbalimbali wa Dini walikuwepo Askofu Mshemba ,Askofu Kilaini na Masheikh mbalimbali
Balozi Kagasheki akitete jambo na Baba Askofu kilaini.
Wapili kulia ni Mdau Dume
Kiongozi msemaji wa Ma albino.
Mdau Jumanne Bingwa kwenye kitengo cha huduma
Baba Askofu Kilaini akisalimiana na watu wenye ulemavu
Mzee mwenye ulemavu akisalimiana na Askofu.
Viziwi pia walikuwepo
baba Askofu Kilaini wakati anautubia amesema kwamba hana uwezo wa kuongea mengi kutokana na simanzi aliyo nayo moyoni mwake asa anapo kumbuka mauwaji ya Albino yaliyo kuwa yameshamili nchini.
Wadau tukumbuke kuna kundi kubwa la watu linalo itaji msaada
Mwalimu Joice Rubozi akitoa suport kwa kijana mlemavu kama unavyo weza kuona katika picha.
Pamoja na shughuli yake ya Ualimu pia ni mtu anaye jitoa sana kwa kushiriki maswala mbalimbali ya Kijamii.
Mwana mama huyo ni Mwalimu wa shule ya Primary Mafumbo ujitaidi kwa kupanga vyema mda wake ili aweze kumudu maswala mengine ya kijamii zaidi
Bukobawadau tunatoa pongezi kwa Mwalimu Rubozi.
Wadau wengi wenye ulemavu wamejitokeza kwa kupewa mwaliko.
kikubwa katika hili mdau jitaidi kusikiliza Maneno ya Viongozi wetu asa viongozi wa Dini na mweshimiwa Balozi.
Waweza kuona video za vipande vya hutuba hapo Juu.
ili ni kama angalizo ili mdau upate kile kinacho stahili
Bukobawadau katika jitiada binafsi kukujuza wewe mdau kila kinachojili pande hizi za Bukoba.
Na katika hili niwazi tunaitaji Suport kutoka kwenu wadau asa wanao elewa ni ninini tunamaanisha na nikipi tunatakiwa
Mashuhuda wengine ni Mdau Sued Juma Sued Kagasheni na Mdau Mtensa Leonard(kushoto)
Mdau waweza kuona hali ya Kijana huyu
Tafakari chukua maamzi toa ulichonacho
wenzetu wanaitaji kweli msaada
Mkuu wa Wilaya Mh Samwel Kamote
Sheikh Haruna wa Bakwata
Askofu Mshema wa Lutheran
Askofu Kilaini wa Roman Catholic
Bakozi Hamis Kagasheki (Mbunge)/naiba waziri wizara ya Mambo ya Ndani
Wadau wenye Ulemavu walipata fulsa ya Kula na Balozi
Ka utalatibu ka foleni....
Balozi Kagasheki kama vile namsikia akisema na watoto mambooooooo...!!!!!