Bukobawadau

FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA TIGO KANDA YA ZIWA YAFANYIKA JIJINI MWANZA..

Mwonekano wa lango la Malaika Beach Jijini Mwanza
Eneo la parking kwa Nje hapo Malaika.
Hii ndio Malaika Beach Resort
Maandalizi ya meza za Chakula
Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo wakipata Chakula
Kutoka kushoto ni Eng.Mussa Hassan wa Bukoba na Eng.Criss Katembo wa Kigoma wakipata chakula.

Mdau pichani ni Eng.Phocas akipata chakula na mwanae.

Dreva wa Tigo Bukoba Ndg Thomas Kalumuna.

Wadau wa Tigo Mwanza kushoto ni Bi Evelin na mdau Jasbir.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo wanavyo onekana katika picha ya pamoja.

Camera ya wadau ikiangaza aina ya chakula kilicho andaliwa

Hii ni kwa mkutasari tu habari kamili pitia you tube kwenye account ya Bukobawadau

Mdau Denis Yebete wa Tigo Mwanza

Meneja wa Tigo kanda ya ziwa Mr Warter Rivera akiwa na Ndg Julius chacha .

Saitoti Naikara (Kaka Mkubwa)picha ya pamoja na Mdau Julius Chacha

Bi Lilian Mwise wa Tigo Bukoba na ni mdau wa karibu wa Bukobawadau blogspot.
Bi Asiath Majamba wa Tigo Mwanza

Kutoka kushoto ni Eng.Bernard Leonard mwenye miwani Toka Tigo Mwanza,Juu kasimama Idd Mkenga na wadau wengine.

Mdau Julius Chacha Tigo Bukoba mwenye tshirt ya njano,na Deogratius Ishenda mwenye tshirt nyeupe.
Hii ni Bukobawadau katika habari matukio ya hapa na pale
wasiliana nasi 0715 50 50 43 na 0713 397241

Kushoto ni Bi Sabina Peter toka nitoke na Bi Lilian Peter nikimaanisha ndg na ni Miembeni moja na blogger wa bukobawadau Mc Baraka.

Bi Devota Juma wa tIGO Bukoba na Mume wake Mdau China Mtenzi na baby Raymond
Bi Nancy akiwa na Mdau Phares Zengo toka Tigo Mwz.

Mrs Julius Chacha.

Mojawapo ya familia iliyoshiriki

Ni mda muafaka wa kujiachia mchangani kwa ajili ya zawadi na michezo mbalimbali.

Asikwambie mtu mdau kiwanja hiki ni nomaerrrrrrr!!!!

Mpira kama kiashiria cha mchezo mkubwa

Music kama kawaida.

Baadhi tu ya zawadi zilizo tolewa
Next Post Previous Post
Bukobawadau