Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU PANDE ZA KISHOGO,NTOIJA NA NYAKIBIMBIRI !!!!!



Kivuko cha kyanyabasa kuelekea Ntoija,kishogo kata ya kashalu hadi Nyakibimbiri ile ile hadi kibirizi,Pichani maharusi hawa wamekutwa wakijaribu kuvuka katika hali ya upendo.
Kivuko cha kyanyabasa
Kivutio ilikuwa namna Bibi harusi alivyokuwa akitembea kwenye kivugo kwa mwendo ule ule unao uwelewa uku gari la maharusi likiwa nyuma likipambia kwa honi....piiii piiii.. piiiiii!!
Wapambe wa Maharusi.

LIBENEKE LA BUKOBAWADAU NA CAMERA YETU MAENEO YA MULEBA SENENE WAMIMINIKA KWA SANA!!!

Tumezoea kuwaona senene kwa mwonekano mwingine ila hii ya kuwajaza chumbani ni tofauti kabisa(ni kali)
Humu ni chumbani mwa mdau na hakutaka jina lake litajwe.
Next Post Previous Post
Bukobawadau