HAPA NA PALE NA CAMERA YETU; Wadau Mkoani Tanga
Hii ni picha ya ukumbusho ambayo wadau walipiga Tanga katika uwanja wa De Souza baada ya mechi kali kati ya Wizara ya Sheria na RAS Kagera.
Namuona kaka Seif wa RAS Kagera,Emma "halleluya",Mwl Kagile wa RAS Kagera,Paulo Mgalilaya wa Sheria,Dr Musa RAS Kagera,kaka Mponda Wa RAS Kagera na wengine,hakika huko kazi ilikuwa kubwa sana.
Kaka mkuu pande za Andeni mkoani Tanga.
Akiongea na Bukobawadau Kaka Mkuu Pichani amesema;'Hakika Tanga raha,waja leo waondoka leo,kuna kibao cha karibu Tanga wala hakuna kibao kinachosema Kwaheri Tanga,watu wa Tanga wakarimu nyieeeeee!!!'
Mdau Criss wa Tigo Tanga ambae zamani alikuwa Tigo Kagera akiwa na mdau Merry Maria na dada Eliza wakiwa kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo lijulikanalo kama Jetty club.