KISHINDO CHA AJALI USIKU WA JANA ENEO LA MADUKA MATATU- HAMGEMBE
Ajali ya kustajabisha ilitokea Usiku wa jana eneo la Hamgembe maduka matatu
Aina ya Gari Suzuki Escudo,hadi tunafika kwenye tukio tayari namba zilisha ondolewa kwa sababu wanazo zijua wao
Eneo ilipotokea ajali hii panajulikana kama maduka matatu-Hamgembe,Chanzo cha ajali hakijajulikana na hakuna mtu aliye poteza maisha
Unaweza kupaita barabara ya kwa Kachwamba,ukipenda kwa Muhazi au barabara ya Nyangoye.