MASAA MAWILI YALIOPITA;Harakati za wadau kwa Mkutasari
Mdau Anthony K.Tibaijuka na mdau diki wakisikilizia kona flani ya Diplomat mtaa wa Migeyo kama walivyo kutwa na Camera.
Ndg Devid kushoto kiwanja kilekile na mdau Poroje.
Kijiwe hiki nimekipenda watu wakiwa happy bila shaka ni maeneo ya Banyenza Grocery pande za miembeni.
Kwa haraka haraka namwona Bi Aisha,Mdau Nyanda ni katika kutekeleza ilani ya mahusiano.
Katikati mwenye Shati nyekundu ni Mdau Edga ambaye pia ni sehemu ya wadhamini wa Bukobawadau
Bukobawadau blogspot inatambua sana uwepo wako mzazi Edgar.
Uso kwa uso na mshkaji wangu mdau wangu Atugonza Kabugumila.
Sehemu hii imejipatia umaharufu sana mgeni yeyote akifika Bukoba bila kufika kwa Jane au MTK Bar nashindwa hata nisemeje.
Maeneo ya Jamco Barbar Shop wajiwa wamejipanga vyema katika msimu huu wa siku kuu,kushoto ni Dogo Hussen na wa pili ni mdau Fado Faraji
Hakika nimefika duka la misifa nakutana na Shop manager Mdau Big John Bigirwa
naongea naye mawili matatu namhuliza vipi game lipoje kaka?!bila kokoro wala kujing'ata ananiambia anamshkuru Sir God
Mdau fika maeneo hayo uwezo kwendana sawa na wageni
Ni Misifa Crassic wear
Wapo barabara ya Kashai ya zamani
Soko la Ndege hawa hii leo
Ni Bukobawadau Blogspot kwa matukio ya kila siku ya Bukoba
Waweza kutoa ushauri,nasi tukaufanyia kazi.
Blog hii haifungamani na watu wa aina flani tu tupo anga zote.
Wasiliana nasi kama una deal kupitia
+255 715 505043,
+255 713 399741
+255 754 505043
KEEP YOUR MANISPAL CLEAN