Bukobawadau

MATUKIO UWANJA WA UHURU MKESHA WA MIAKA 50

Swaggar za mkesha wa Miaka 50 ya Uhuru
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Kanal Masawe akifatilia mikato ya wadau
Uhuru,Malezi na maadili....
Mkuu wa Mkoa Mh. Masawe akitoa hotuba kwenye usiku wa jana
Mwonekano wa meza kuu ikiwa ni viongozi wa Dini na Serikali.

Mda mchache kabla ya saa 6 na dakika 1 ya tarehe 9-12-2011 historia mpya kuandikwa
Mkesha ni kitu kingine jamani kama unavyoweza kuwaona waheshimiwa hawa wakiwa wameuweka
Sheikh wa wilaya ya Bukoba Mjini Sheikh Haruna Kichwabuta...waweza kusikia kile alicho kusema kwa kutazama vidio yake hapo juu
Baba Askofu Kilaini
Next Post Previous Post
Bukobawadau