Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Camera yetu asubuhi hiiimekutana na Ramadhan Kambuga akielekea ofisini
Mdau wa siku nyingi Ndg Vedasto katikati

Mdau Abdalla Sadick.
Picha hii ni Ombi maarumu kutoka kwa mdau Athuman Mpocho wa Uingereze

Anaitwa Bob Anderson picha hii nimeombwa na Wadau Nazir Issack na Hashimu Goronga waliopo nchini Marekani.
Mdau kushoto ni Abdallah Sadick na kulia ni Siraji Sadick wote wazaliwa wa Kamachumu.

Mdau kulia ni Edson Kamugisha alifika bukoba na kuwatafuta bukobawadau
Mdau veterani Sady Idd zamani alikipiga RTC Kagera
Camera yetu tumekutana na mdau Bushira jioni ya Jana maeneo ya Bukoba Club
Next Post Previous Post
Bukobawadau