Bukobawadau

MDAU WAZIRI KABAGO ANASUMBULIWA NA MALARIA;bukobawadau tunasema get well soon mdau wetu!!

Mdau mkubwa wa Bukobawadau Ndg Waziri Kabago pichani,afya yake kidogo inamletea shida,anasumbuliwa na malaria Wadau tumuombee mwenzetu
BukobaWadau tuna mwambia Get well soon Mtu mzima Baba B.
Next Post Previous Post
Bukobawadau