Bukobawadau

UPADRISHO WA PADRE SAMUEL MUCHUNGUZI;na Mha.Askofu N.Timanywa ( hii leo Kishogo)

Picha ya pamoja Mha.Askofu.N.Timanywa,Askofu Kilaini,Padre Samuel Muchunguzi na wazazi wake
Upadrisho umefanyika Kanisa la Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo KISHOGO na Mha. Askofu N.Timanywa.
Mha.Askofu N.Timanywa akiubili baada ya Misa ya Shukrani Nyumbani Kagabiro
Padre Samuel Muchunguzi akiomba:"Nitendewe kama ulivyo nena"(lk 1:38)
Sehemu kubwa ya wadau waliojitokeza
Mdau Nofatus Rwechungura Nkwama akimpongeza Padre Samuel Muchunguzi
Next Post Previous Post
Bukobawadau