X-MASS SPECIAL NDANI YA EVODY BOUTIQUE:Fika upate punguzo la bei
Kijana Evody(dogo ditto)katika harakati ndani ya Ofisi yake maarufu kama Evody Botique
Ni wakali na wamejipanga nyanja zote hususani katika mikato ya kizazi kipya
Ndani ya Evody Boutique ikiwa ni katika msimu huu wa sikukuu mpaka katikati ya mwezi wa pili kuna punguzo maalumu kwa viatu vya kike,viatu vya kiume,mikoba ya kinamama,top za madoo,na mikato yote ya ma brother men.
Hii sehemu kuitolea eti maelezo kiukweli nitakua mwongo.Acha macho yafanye kazi yake.
Evody Boutique wapo nje ya Soko Kuu la mjini Bukoba,Mkabala na Muleba Nyumba ya wageni
Mavazi ya heshima,mavazi ya kinizamu maarufu kama Nguo za kanisani kwa kuzingatia umri mbalimbali hapa ndio mahala pake
Mama,Dada,Mjomba na Shangazi sehemu sahihi yenye ubora katika msimu huu wa Sikukuu ni Evody Boutique.
Mwonekano wa Nje hapo Evody Boutique
Wapo nje ya Soko Kuu Mjini Bukoba
Zamani barabara ya Kashai
Maarufu kama Maeneo ya Muleba Guest.
Mawasiliano zaidi piga 071 188 793