BIBI MALAIKA ASHEREKEA KUFIKISHA MIAKA 75
Dada Cosmaya (wa pili kulia mwenye nguo nyeupe) akiwa na wifi yake Mama wa mitindo Asia Khamsin pamoja na marafiki zao wengine waliohudhurua katika maadhimisho ya miaka 75 kuzaliwa kwa mama yake mzazi Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mama wa mitindo Asia Khamsin akiwa na shemeji yake ambaye ni mtoto wa mwisho wa Bi. Malaika wakiwa katika maadhimisho ya miaka 75 ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika akifurahia na kushangiliwa na marafiki, watoto na wajukuu zake kwa kutimiza miaka 75 iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
ambaye amefikisha miaka 75 akiwa na mwanae mama Khatibu pamoja na mke wa mwanae Mama wa mitindo Asia Khamsin.
Bibi Malaika akisalimia na Balozi mstaafu wa Ufaransa Mhando katika sherehe ya kumpongeza Bibi Malaika kufikisha miaka 75..
Ndugu jamaa marafiki na wajukuu wakimpongeza bibi Malaika kufikisha miaka 75..
Cosmaya ambaye ni mtoto wa Bibi. Malaika akimpa zawadi ya ua
Keki ya kumpongeza bibi Malaika kufikisha miaka 75.
Bibi Malaika akisaidiwa kupakua chakula na mjukuu wake wa kwanza Meline.
Bibi Malaika akimlisha keki balozi mstaafu wa Ufaransa mzee Mhando.