Bukobawadau

HABARI MATUKIO NA CAMERA YETU

Mashindano ya michezo mbalimbali yaliowahi kufanyika kabla ya Uhuru bado kumbukumbu zipo ndani ya Bukoba Club toka mwaka 1954
Mdau Pichani akijaribu kuona hesabu yake katika mchezo wa Sbooker.
Mdau Mzee Matelu akitafuta point 6 kwa kucheza mpira wa Pink.
Nikiwa bado maeneo ya Bukoba Club nakutana na Mdau Mrishid pichani.
Ni miongoni mwa picha kali 'Dj Ray' wa Linas Night Club na 88.5 Kasibante Fm Radio.
OMG Ray Chelsea.
Next Post Previous Post
Bukobawadau