Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Barabara ya Jamhuri mchana wa leo
Hapa ni NBC Bank Tawi la Bukoba Barabara ya Jamhuri
Hummer ikiwa imeegesha maeneo ya mghahawa wa 888
Mdau huyu akikodolea hummer kwa ndani
Nikabahatika kukutana na mmiliki wa gari hili naye si mwingine ni Mdau Mzee Felician Mutta maarufu kama Mutta wa FM
Next Post Previous Post
Bukobawadau