HAPA NA PALE NA CAMERA YETU
Hapa ni Gift Shop duka hili lipo barabara ya Tupendane mkabara na Kitwe Shop mjini hapa
Mmoja wapo wa wahusika akiendelea na shughuli zake,kama unavyo jionea kinacho endelea kinaendana kabisa na jina la duka lenyewe,Mie hufika hapo sanasana kununua CD na mapambo mbalimbali na hii ni kutokana na ubora wa bidhaa zao.