HARUSI YA MDAU STEPHEN CYRIACUS NA BI OLIVIA LAURIAN YAFANA SANA USIKU WA JANA NDANI YA LINAZ NIGHT CLUB
Baada ya Ndoa iliofanyika Ijumaa ya jana tarehe 20/01/2011 katika kanisa kuu la Rumuli saa 9.00 alasiri ,Badae sherehe ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika ukumbi wa Linas Night Club.
Kama unavyo jionea huu ni mwanzo tu wa sherehe kupitia bukobawadau blogspot.
Maharusi wetu (Stephen Cyriaucus na Olvia Laurian)
Bi Harusi Olivia Laurian na Mpambe wake.
Wapambe wa Bi Harusi.
Anaonekana Mdau Mr Ngirwa akipata chakula.
Mdau Mwinyi kama kawaida yeye ni mtu wa kutabasamu.
Libeneke la kaka mkuu wakati wa chakula.
Mkurugenzi kijana Ndg Mgisha nae alikua wa mwisho kabisa kupata chakula kama mwenyekiti wa harusi hii ya Ndg Stephen Cyriacus maarufu kama Stephen Bayport.
Bwana Harusi Ndg Stephen Cyriacus akitoa utambulisho.
Kaka yake Bwana Harusi baada ya kutambulishwa
Hivyo hivyo Bi Harusi alifanya kutoa Utambulisho kwa Ndg na Jamaa
Pamoja na yote Bwana Harusi Ndg Stephen hakusita kwataja marafiki zake wakubwa pichani
Anaonekana Mdau Mrs Jamal BiJamila.
Sehemu ya Wageni waalikwa .
Anaonekana Big John Bigirwa wa kwanza kulia na Mdau Dogo Mkusini(msouth)
Mdau Jeniveva, Mdau Betty na Mdau Juddy
Wanakamati wakati wa Kutoa zawadi
Hii ndio zawadi ya kamati kiasi cha pesa taslimu
Mweka hazina wa Kamati ya harusi baada ya kukabidhi zawadi ya kamati
Wadau mbalimbali wakitoa zawadi na kuwapongeza maharusi.
Kaka wa bwana harusi yeye ametoa zawadi ya Ng'0mbe.
Bi Judith Msongi akitoa zawadi yake.
Mabibi wa Bwana harusi nao wakikabidhi zawadi zao.
Ndg wadau tungependa mpate kila tukio ila inakua ngumu kidogo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Bi Zuhura Kassim kushoto na katikati ni mdau Krista na wa Mwisho ni Bi Mainda.
Mdau Bi Rehema Ramadhan na wenzake ni sehemu ya wageni waalikwa.
Mr&Mrs Gilbart George.
Mr Sudi kshoto,Mdau Mauyemba katikati na Mdau Matete.
Ndg Jamal Kalumuna,Ndg Matete na Mdau Super Mkude Self.
Kulia ni Mdau Mrs Eugun Kabendera
Dogo Mkusini (Msouth)kushoto,Mc Magoma wa Rock City na Big wa Bigirwa.