Bukobawadau

LIBENEKE LA DESARE PUB KWAUSIKU WA JANA

Kiongozi wa kundi la wanenguaji akiongea na mmojapo wa Madj hapo Desare Pub
Ni Onyesho la kuwafurahisha(entertain wateja wao)kila siku za Alhamis,Ijumaa ,Jumamosi na jumapili
Unaweza kujionea misumari ilivyo simama.
Kushoto ni mdau Innocent Deus na Mdau Dida katika libeneke la Desare Pu usiku wa jana.
Mikato na swaggar za Kiganda basi desare ndipo mahali pake.
Mdau Mtuli Godi Mtuli akifatilia Onyesho.
Hii ni Bukobawadau katika kugusa tukio la kila siku upande huu.
Mdau Godfrey G.Bushaijaakipata kiaina na Mdau Simba.
OMG Habdul Goronga.
Mdau Siraji Issack na Mdau Kashai Moja Thomas Charles.
Bukobawadau hivi ndivyo tulivyo dhuru kiwanja cha Desare
Hakika mambo ya pale ni makubwa.

Next Post Previous Post
Bukobawadau