Bukobawadau

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU BI FROLA KATABARWA MAZISHI YAMEFANYIKA LEO KIJIJINI BUGANDIKA

Nyumba ya milele ya Bi Frola Katabarwa,Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Amen.

Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo.

Kushoto ni mdau Majid Kichwabuta,Mdau Kalike wa Ponny na Mme wa Marehemu Ndg Sunday

Ndg Mtayoba akipata maelekezo kutoka kwa Mdau Majid

Bukobawadau tunawapa pole wale wote waliofikwa na msiba huu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau