Bukobawadau

TASISI YA BILAL MUSLIMU MISSION OF TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA MIWANI YA KUSOMEA NA KUONEA KWA WAZEE MKOANI KAGERA

Mwakilishi wa Tasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania Mkoani Kagera Al haj Gulam Rustamali akikabidhi msaada wa Miwani ya kusomea na ya kuonea kwa mwenyekiti wa (SAJAWAKA)Saidia jamii yawazee kagera Ndg Peter Benjamin Temalirwa hii leo mjini hapa.
Zoezi hili lilianza rasmi mkoani hapa mwaka 2000 chini ya Tasisi ya Bilal Muslim Mission yenye tawi lake mjini hapa, na mpaka hivi sasa watu wapatao takribani 3500 wamenufaika na msaada huu.

Hii leo jumla ya miwani 296 imekabidhiwa

Ndg Peter Benjamin Temalirwa ametoashukrani kwa Tasisi hii kwa niaba ya Wazee wa (SAJAWAKA).
Next Post Previous Post
Bukobawadau