VITAFUNWA VYASABABISHA TAFRANI...By Mc Baraka
Ugomvi,Ubandidu ,zongelo, vagi,zogo,mkazuzu,tifu baya ,sintofahamu kati ya mafundi ujenzi wa Mdau Eliud (anaecheka)!!!!.
Hii ni hapa na pale na Camera yetu.
Ugomvi kati ya Mdau Ndg Pius kushoto na Edwin Macho ukiendelea.
Sakata hili limetokea mchana wa leo maeneo ya Kibeta Mjini hapa.
Chanzo cha Ugomvi huu ni Vitafunwa,ambapo ndg Macho amepitia kipande cha Mkate kisicho chake!!!
Hii ni hapa na pale na Camera yetu.