Bukobawadau

ZAWADI KWENU WADAU MUONEKANO WA MJI WA BUKOBA HII LEO;Kijani imeenea kila kona,Picha na habari rukhsa kushare

MUONEKANO HUU WA PICHA NI MAENEO YA KASHAI,NYAMKAZI MPAKA MSIRA
MUONEKANO HUU WA PICHA NI MAENEO,KATIKATI YA MJI
MUONEKANO HUU WA PICHA, BARABARA ILYOPO KATIKATI NI ILE INAYOELEKEA KASHAI MPAKA NYAMUKAZI NA UPANDE WA KULIA NI UWANJA WA NDEGE.MWANZO KABISA NI NYUMBA ZA KASHAI, MAJENGO MAPYA.
MUONEKANO HUU WA PICHA.., HUU NI UPANDE WA NATIONAL HOUSING.

PICHA NA SIR.LOOM INC GALIATANO HII NI KATIKA KUENDELEZA KIVINGINE ZAIDI LIBENEKE HILI LA BUKOBAWADAU.
Next Post Previous Post
Bukobawadau