HALI HALISI UWANJA WA TAIFA KABLA YA MPAMBANO WA YANGA VS ZAMALEKI MCHANA WA LEO
Wadau wakiwa nje ya uwanja wa taifa tayari kuingia ndani ya uwanja kuangalia mtanange kati ya Yanga na Zamalek
Kwa kawaida upinzani lazima uwepo, Camera yetu iliweza kushuhudia mashabiki wa simba wakiuza na kununua jez za Zamalek
Wazee wa kazi nao wapo kuhakikisha usalama unakuwepo siku ya leo
Foleni la kuelekea uwanjani
Nje ya Lango kuu la uwanja wa taifa
Muonekano wa uwanja wa taifa mapema mchana wa leo kabla ya mtanange huo
Maofisa wa Zamaleki wakitoka kukagua uwanja kabla ya mechi
Wachezaji wa yanga wakiingia uwanjani kwa mbwembwe
Mashabiki wa yanga wakiishangilia timu yao baada ya kuingia uwanjani
Mdau dawson raphael akiwa anakaribia lango kuu la uwanja.
Bukobawadau tutaweletea kila tukio litakalokua likitokea uwanjani leo.picha zote na mwandishi wetu Julius.