Bukobawadau

HALI YA HEWA PANDE ZA NORTH LONDON YAPELEKEA WADAU KUENDELEA KUTAABIKA

Pande za North London mabasi imebidi yasimamishe huduma kutokana na ukungu wa barafu.
Hali ni tete wadau wenzetu wanapata tabu,magari ya familia mbalimbali yameegeshwa kando kando ya barabara.
Hali hii imepelekea mabus na magari ya Raia kuegeshwa barabarani pasipo kuendelea na mchakato wowote!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau