HAPA NA PALE NA CAMERA YETU HII LEO
Nakutana na mdau Jamaldin ofisi kwake.
Mdau huyu ni wakala wa pikipiki aina ya Boxer na Bajaj mjini hapa |
Pia Jamaldin ni wasambazaji wakuu wa maji Asilia yanayozalishwa mjini hapa.
Wapo mtaa wa haki
Barabara ya One Way
Simu ni 0752 925979
0713 632922
Mtaa wa Rumumba(uswahilini ) hii leo
HAPA NA PALE NA CAMERA YETU HII LEO MTAANI