HAPPY B-DAY MZEE JUMA HAMDANI BYABUSHA (LUTENDE)
Mzee Juma Hamdani Byabusha (katikati) afikisha miaka 13 jana na hii ni picha ya pamoja na marafiki zake
kulia ni Mdau wa Capital A mada B Ndg Hahmad Byabusha akifurahia bday ya Binamu yake.
Mzee Juma Hamdani Byabusha.mjukuu wa mzee Hajji aliyechukua jina la Babu yake Al haji Juma Hamdani(lutende)
Bukobawadau tunakupongeza sana kwa Umri uliofikisha na tunakutakia maisha mema!!!!