HII HALI VIPI WATU WA MANISPAA?!!Binafsi sijapenda....!!!!
Mrundikano wa takataka eneo la Soko kuu la Manispaa ya Bukoba
Hali hii inapelekea maji machafu kuzagaa hadi barabarani na kinachofata hapa ni magonjwa wakati na hii ni aibu kwa manispaa inayotoza faiani kwa mtu anaetupa taka hovyo.
Mtaa huu sasa unatoa harufu mbaya na madhara yake yanawapa Raia wasio na atia,na sidhani kama swala la uzoaji taka nalo limeathili a na bajeti kama maeneo mengine.
Binafsi naomba Mkurugenzi wa Manispaa jaribu kufatilia ni kwa nini huduma hii ya uzoaji taka inachukua muda.