KAMPUNI YA KIROYERA TOURS YAUNGA MKONO JUHUDI ZA MKUU WA MKOA WA KAGERA; Mh.Masawe
Mdau Willy anatuonyesha parking ya mji mdogo wa Kigali-Rwanda
Katika kuendeleza usafi wa mji wa Bukoba na wilaya zake zote. Manager wa Kampuni hiyo alifanya ziara ya wiki moja nchini Rwanda katika mji wa Kigali ili kupata mafunzo na kujionea siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi jinsi wanyarwanda wanavyohakikisha kasi ya usafi na mazingira inakuwa ya kweli.
Pamoja na kutemeba Kigali mara nyingi sikuwahi kufika siku ya usafi japo mji ni msafi kuliko miji yote unayoifahamu katika Africa mashariki na kati ikiwemo Bujumbura, Kampala, Nairobi, Dar es salaam, na Kinshasa pote tumetembelea Kigali ni namba moja.
Siku hiyo hakuna matembezi aina yoyote wala biashara yeyote kufunguliwa isipokuwa hospatli na pharmacy tu. Hakuna gari kutemebea, wala piki piki, wala kituo cha mafuta wala baiskel wala mtembea kwa mguu, wala muuza magazeti, wala usafiri wa aina yeyote
Ukiwa mgeni ndiyo unaweza kutembea na kufaidi wakati ukijifunza. Watanzania tuliobatika kuishi karibu na Rwanda wakazi wa kagera
Kibali hutolewa bila kuchakachuliwa kwa mjonjwa na mtu mwenye emergency. najiuliza Watanzania tutafikia huko? Mkuu wa Kagera anatupa njia sasa
Kiroyera Tours inawakaribisha
Watendaji wa serikali,
Wafanya biashara wote,
Wenye Ngo za Mazingira
Walimu na vyuo
Njooni tumuunge mkono Mkuu wa Mkoa wa kagera na tuwe watalii wa kiroyera Tours
Twende tukatembee wakati tukijifunza na kuona mji wa kigali unavyokuwa kuliko miji yote ya Afrika mashariki na kati
Kwa laki mbili tu unapewa usafiri kwenda na kurudi, kulala siku mbili na breakfast, visa ya kwenda Rwanda, kutemebelea vivutia vya utalii, kutembelea makumbusho ya mauwaji ambayo hatutapenda yarudie popote duniani na kuona mji ulivyo mzuri. Tutatembea na kwenda kwenye club za usiku za
kigali kama KBC n,k
Wasiliana na Willy Kiroyera 0784 56 82 76
Kiroyera Tours
www.kiroyeratours.com
www.kagera.org
www.budap.org
http://www.facebook.com/pages/-Tours-and-Consulting/171058592931255
http://www.twitter.com/kiroyeratours
http://www.youtube.Kiroyeracom/user/kiroyeratours
P.O. BOX 485
BUKOBA, KAGERA, TANZANIA