KASI YA UTUMIAJI MIRUNGII IMEONGEZEKA MJINI HAPA JE NI HALALI?..Na watumiaji wake ni watu wenye kipato cha chini...!!!
Picha ya Mirungi kwa jina la hapa ni maarufu kama Kabasanda au Miraa ambayo ina visisimuzi vya asili na ni maarufu kwa jamii ya wasomali ila kwa sasa kasi yake ni kubwa mjini hapa.
Watumiaji wa Mirungi wanajisikia mzuka flani, wako macho, wana furaha na wanaongea sana bukobawadau tumeshuhudia watumiaji wa mirungi pamoja na kwamba inauzwa bei ghali bado walaji wake wengi ni watu wakipato cha chini na wanajisifu kweli, hivi hii sifa inatokana na nini?!
Wadau nini kifanyike juu ya libeneke hili na ukweli ni kwamba Mirungi ni haramu katika baadhi ya dini
Bukobawadau hatujui uhalali wake mpaka hivi sasa!!!