KYAKA,MISSENYI,BUNAZI,KABWOBA,IGAYAZA-MUTUKULA NA CAMERA YETU HII LEO
Usafiri mkubwa kwa ukanda huu ni Baiskeli,na mabingwa wa uendeshaji wa Baiskeli mkoani Kagera wapo Kyaka wanafatia wadau wa Katoro.
Wakazi wa Bunazi, Missenyi,Igayaza,Kabwoba mpaka Mutukula camera yetu imeshuhudia adha kubwa ya usafiri walionayo
Akina Kayumba ata kwetu wapo
Heka heka za wasaka tonge mjini Kyaka.
Mwonekano wa viunga vya mji wa Kyaka.
TRA Mutukula Tanzania.
Mutukula upande wa Uganda.