LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA KUENDELEA KESHO;JKT RUVU V/S KAGERA SUKARI UWANJA WA KAITBA
Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya JKT Ruvu
JKT:Kikosi cha Kesho ni Shabaan Dihile, George Minja, Damas Makwaya, Shahibu Nayopa, Kessy Mapande, Frank Damaya, Jimmy Shoji, Mohamed Banka, Hussein Bunu, Nashon Naftari na Amos Mgisa.
Baada ya kupigishwa kwata na Timu ya Yanga,sasa wanajeshi wa JKT Ruvu wanakutana na Timu ya wakata miwa ya Kagera Sukari.
Mchezo huo utafanyika kesho Jumamosi katika uwanja wa Kaitaba.