MATUKIO YA SHOW MBILI TOFAUTI ZA MSANII 20% MKOANI KAGERA;Idadi ya waliojitokeza ni ndogo!!!
Nionyesho la msanii 20% lililofanyika weekend hii kwenye ukumbi wa Calfornia Mjini Muleba na kupata idadi ndogo ya watu.
Pichani ni Mr &mrs Hajj wakazi wa Muleba wakifatilia swagger za msanii 20%
Mashabiki wa msanii 20% wakipata kile kinachostahili .
Kushoto ni 20% akiwajibika katika ukumbi wa Calfornia Muleba.
Ni Onyesho la Msani bora mwenye tuzo tano za muziki wa kizazi kipya.
Kushoto ni Dj Sley,Mdau Jahrude na Dj Mubah wa Muleba.
Dj Mubah katika pozy lakipekee.
Show mbili tofauti za Msanii 20% Kikubwa ni kuonekana na vazi moja, ikiwa hapa ni California Muleba na Linas Club Bukoba.
Onyesho la kwanza la Msanii 20% lilifanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa Linas Night Club.
Wasanii wa Mjini hapa walianza kwa kutambulisha kazi zao za Uigizaji ikiwa ni pamoja na kutambulisha filamu mpya ya' Dunia mapito'.
Msanii wa Kakau Band Mose Mnyama akitumbuiza ndani ya Linas Night Club.
OMG John Big Bigirwa akishika kipaza
Msanii Puya Man jukwaani.
Ndani ya Linas Night Club ni Msanii 20% aka alwatan kutoka combinenga sounds akisababisha ni Ijumaa ya Weekend hii.
Ni drop za msanii Nyota katika Muziki wa bongo flava 20%
Idadi ya watu waliojitokeza kwenye onyesho hili ni kidogo sana.