MDAU MWENYE LENGO LA KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA MJINI HAPA
Mdau wa mazingira Bi Koku Mwesiga(USA)mwenye lengo la kuipendezesha Bukoba kwa kuboresha mazingira.
JITIADA ZA MDAU BI KOKU MWESIGA(Mama George)akionyesha sehemu ya kazi
yake pia ni baadhi ya sehemu ambazo amefanya kazi ya kupanda maua
Bi Koku anasema;''Wadau wa mazingira nawakumbusheni yes we can do it hata BUKOBA inaweza kupendeza kama miji mingine ya wenzetu, ulimwenguni, penye nia pana njia siku zote, wote tukishirikiana tunaweza,
remember wanakagera siku zote charity begins at home week end njema. mungu awalinde
asanteni''
BUKOBAWADAU TUMEFANYA JITIADA NA KUMPATIA BI KOKU NAMBA ZA SIMU ZA WADAU WA MAZINGIRA KWENYE UONGOZI WA MANISPAA YA BUKOBA