MVUA KUBWA ZINAENDELEA KUNYESHA MJINI HAPA NA MAENEO YA JIRANI
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na hii ni adha wanayopata wanafunzi mjini hapa.
Wanafunzi wakipelekwa shuleni
Hii ni hali ya barabara kati ya makutano ya barabara za Jamhuri na Arusha mjini hapa.
Maporomoko katika baadhi ya mitaro.
Viunga mbalimbali mjini hapa hali ya miundombinu.
Pembezoni mwa mji maeneo ya Kibeta na Magoti
Migomba inazidi kustawi kipindi hiki cha mvua kama unavyo weza kujionea.

Matokeo ya mvua tunapata Chakula cha kutosha na hii ni katika kipindi chote cha mwaka kulingana na kiasi cha mvua.