Bukobawadau

ORIGINAL COMEDI WAWASILI MJINI HAPA;Kuwasha Moto Siku ya Jumapili Uwanja wa Kaitaba

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Fabian Massawe akisalimiana na wasanii wa kundi la vichekesho la Original Komedi mara baada ya kumtembelea ofisini kwake.
Kundi la vichekesho la Origino Komedi linatarajia kufanya onyesho la kwanza Mjini hapa siku ya Jumapili kwenye uwanja wa Kaitaba. 
Kiingilio ni Sh 1000 kwa watoto,
sh 3000 Mzunguko na sh 10000 Jukwaa kuu.


Next Post Previous Post
Bukobawadau