ORIGINAL COMEDY WAPAGAWISHA NDANI YA LINAS NIGHT CLUB USIKU WA JANA
Kutoka kushoto ni Mdau Mwinyi na Mr &Mrs Ruge Masabara
Watu ni wengi ndani ya Ukumbi wa Linas kiasi cha wengine kukosa kuona raha ya kuhudhulia
Mdau Mama Nice akiteta jambo na wifi yake kulia ni Eunice Ruangisa akifatia na Mama Jamco Bi Jamila
Masanja akisababisha miondoko ya hiphop
Mashabiki wa Msanii Macregan wakicheza wakati akiwajibika jukwaani.
Msanii Wakuvanga mzee wa (hivi kwanini) aka Baba Anduje kushoto na kulia ni Macregan aka Mjombaaaa..!!!
Wasanii wa Original Comedy wakiwajibika
Macregan aka Kipara mzee wa Mjombaaaaaaa...!!!.tuendeleeee....!!!
Masanja akitoa dole kwenye camera yetu ya BUKOBAWADAU BLOG
Home boy Mpoki aka bepari la kihaya aka Tajiri wa Dubai watoto wa mjini umuita Rick Ross.
Wadau wakiserebuka taarabu na Original comedy mpango mzima ni kutikisa kiuno na kusugua kisigino
Watu nyomi ukumbini, kama unavyo jionea.
Mpenzi na shabiki mkubwa wa Bukobawadau blogspot picha ni Mr& Mrs Shukuru.
Kushoto ni Mdau Ndg Deus Mava
Ndg Peter Ngaiza wa Kabanga Natural Spring water (kamachumu moja) katikati ni JJ Mgango na mwisho ni Ndg Makoye
Mdau Bi Hashira Ruttu katika hali ya umakini
Dogo Evance hakuwa nyuma katika kupata kile alichokitaka kwa Usiku wa Jana.
Pozzy la dogo Kibabaha mbele ya Camera yetu ifike mahala vijana nao wajuwe kama hivi libeneke la bukobawadau
Wadau wakifatilia tamasha linavyo endelea
Mashabiki wa Msanii Macregan wakicheza wakati akiwajibika jukwaani.
Mdau akifatilia libeneke la Orginal Comedy katika kipengele cha ndoa ndoano kinachoelezea mambo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine yanatokea katika familia zetu
Kijana mtata Alex kushoto na Mr&Mrs Masauti nao ndani ya Nyumba