SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU ERASMUS.D. RWEGOSHORA:Mazishi yamefanyika Nyumbani kwao Kijijini Bundaza (Nyakibimbili)Bukoba Vijijini
Mwili wa Marehemu ukitolewa nje
Wafiwa wakitoka nje kushoto ni mtoto wa marehemu Ndg Kamazima Rwegoshora na wa pili ni kaka wa marehemu .
Picha ya Marehemu Erasmus Rwegoshora (DCI) Deputy commissioner of Immigration mkoa wa Pwani.
Baba Mzazi wa Marehemu Mzee Jeremiah Mushesha Kenteme maarufu kama Mzee Kipilipili
Bi Florentina Petro mkwe wa marehemu na mjukuu wake Ndg Steven.
Mjane wa Marehemu Erasmus D. Rwegoshora Bi Florida Rwegoshora.
Ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu ikiendelea.
Wadau mbalimbali wakishuhudia mwili wa marehemu
Wafanyakazi wenzake wakiuaga mwili wa marehemu.
Marehemu Erasmus Rwegoshoro alikua Afisa wa Uamiaji mkoani Pwani- Kibaha.
Ndg wa Marehemu Dr. Ildephonce akitoa heshima za mwisho
Bi Florida Mjane wa Marehemu akitoa heshimu za mwisho .
Rafiki mkubwa wa familia ya marehemu Rwegoshora pichani ni Brig. Gen. Daniel Tindamanyire akitoa heshima za mwisho.
Marehemu Erasmus alikuwa na madaraka kama Deputy Commissioner wa Immigration (DCI)
Hatua za kuuaga mwili wa Marehemu Erasmus Rwegoshora mwenyezi mungu amurehemu.
Ndg Mwijage Rwegoshora mtoto wa marehemu.
Bi Aitesile Rwegoshora binti wa marehemu
Brig.Gen.Daniel .S. Tindamanyile.
Ndg na jamaa katika kushiriki mazishi.
Wadau mbalimbali na wanafamilia wakiweka maua.
Mjane wa marehemu akiweka shada la maua katika kaburi .
Ndg Kamazima mtoto wa marehemu akiweka shada la maua.
Ndg Isack afisa uamiaji Bukoba mjini akiweka shada la maua.
Padri aliye ongoza mazishi akiweka msalaba kaburini
Huu ndio mwisho wa safari ya marehemu Erasmus Rwegoshora.
FAMILIA YA MAREHEMU INATOA SHUKRANI KWA MADAKTARI WOTE, NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI KWA MICHANGO YAO YA HALI NA MALI
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WAFIWA NA TUNAMUOMBEA MAREHEMU MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI.