CAMERA YETU HII LEO NYUMBANI KWA MDAU NDG MWANDIKI;Ni kijijini Kamachumu hakika anastahili pongezi!!!!
Hapa ni kijijini Kamachuma hii ni namna Mdau Ndg Mwandiki alivyoweza kujipanga nyumbani kwake kijijini hakika anastahili pongezi.
Camera yetu ikiangaza Mwonekano wa Jengo la msikiti wa kihistoria mjini kamachumu.
Tunaridhika na namna Ndg Mwandiki alivyo buni mwonekano wa bustani nyumbani kwake.
Uzio wa Ukuta na Seng'enge ulio zunguka eneo la Nyumba ya Ndg Mwandiki.
Soko kuu la Mji wa Kamachumu
Mwonekano wa Nyumba na bustani,hakika mdau huyu anastahili pongezi.
Home!!!sweet home!!
Kamachumu ni eneo lenye Wadau wanaojitaidi kwa kuelimisha watoto wao.
Pichani niWanafunzi wa shule ya sekondari ya Rutabo wakirudi majumbani.
BUKOBAWADAU TUNATUMAINI TUTAUNGWA MKONO TUKISEMA HUYU JAMAA AMEJITAIDI SANA NA ANASTAHILI PONGEZI