CAMERA YETU NYUMBANI KWA MDAU ALEX MTIGANZI;Hapa ni kijijini Buhanga-Kabulala Buganguzi!!!!!!
Hapa ni Nyumbani kwa Mdau Alex Mtiganzi,Kijijini Kabulala-Buhanga Buganguzi Wilaya ya Muleba.
Bustani nzuri ikiwa na uwanja wa basketball.
Mwonekano wa kanisa la Kilutheri la kijiji cha Buganguzi.
Kanisa la Kilutheri la Mubango Buganguzi
Kuna muda nilichoka kutembea na kupiga picha uku nikijaribu kuhesabu nguzo za Umeme zilizotumika nikajipa moyo baada ya kuiona nyumba yenyewe kwa mbali kama hivi......!!!
Jitiada za kupeleka Umeme umbali wa km 5 kutoka barabaranimpaka Nyumbani kwake Kalanda Buhanga-Buganguzi
Kijijini Buganguzi chimbuko la Mzee Alfred Tibaigana na huu ni mtaa maarufu kama kwa Tibaigana.
Shule ya msingi Kashozi iliopo kijijini Buganguzi.
Uzio zaidi ya metre 100 kuzunguka nyumba hii
Uzio wa pembeni kuzunguka Nyumba.
Ni hapa na pale na Camera yetu,Ni Nyumbani kwa Mdau Alex Mtiganzi pande za hiyangiro Buganguzi
Bango la shule ya msingi Mubango ikiwa ndio mwanzo wa nguzo za Umeme kuelekea kijiji cha Buhanga
Kwa Tibaigana mtaa huu zamani ulijulikana kama Cassanova.
Mzee Kaleju mzee huyu ni mda mrefu yupo hivi hivi yaani abadili, azeeki zaidi
Ile nakutana nae zaidi ya miaka kumi sasa nilishangaa na yeye pia anakiri kuwa watu watu wengi wanamchukulia hivyo nikahoji ni nini siri ya kutokukua na kuzeeka?!
Mzee akacheka na kusema;'hakika ashkuriwe Mungu'
Hapa sijui vipi mabaki ya Nguzo hizi za Umeme!!!!!!
Inavyo Onekana kwa mbali kidogo nyumba hii iliopo katikati ya usio mkubwa ulefu wa kwenda nyuma na mbele ni sawasawa hakika Ndg huyu amefanya na anastahili pongezi.
Uzio wa pembeni kuzunguka Nyumba.