HAPA NA PALE NA CAMERA YETU-KARIBU SANA BUKOBA HOME!SWEET HOME!!
Home!sweet home !karibu bukoba hakika hutaondoka kama ulivyoingia.
Nakutana na Mdau M1tesh (kushoto) huyu ni mtoto wa Mzee Metal mzee wa Nurite ni maarufu mjini hapa,na kulia kwake ni Mdau Yusuph Wastara watu wa Kyaka mtakua mnamkumbuka Mzee Wastara bila shaka.
Nakutana na Mdau M1tesh (kushoto) huyu ni mtoto wa Mzee Metal mzee wa Nurite ni maarufu mjini hapa,na kulia kwake ni Mdau Yusuph Wastara watu wa Kyaka mtakua mnamkumbuka Mzee Wastara bila shaka.
Pichani ni Mdau Evance swaiba wa watu wengi mjini hapa.
Ni Mdau Msoke (kushoto) hii ni katika kutekeleza ombi la mdau wetu Moshi Msonja -USA na wa pili ni Ndg Burilisho wa Kashai.
BUKOBAWADAU TUNAPENDA KUWAOMBA RADHI WADAU WOTE KWA KERO YA BAADHI YA COMMENT ZINAZOTOKA KWA WATU WALIOPO KWA AJILI HIYO WENYE LENGO LA KUARIBU-NA WASIOPENDA JITIADA ZETU NA HUO NDIO WAKATI MGUMU TULIONAO ASA PALE TUNAPO WEKA AU KUGUSIA HABARI ZA VIJANA WA MJINI HAPA!!!!!