HAPA NA PALE NA CAMERA YETU
Gafla nakutana na mzee wa siku nyingi wao wanamuita mzee wa Busara pale
Bandarini BUKOBA,ni mzee mkarimu mcheshi kwa kila mtu,anayeipenda kazi
yake, mwingi wa hekima, huyu ni Mzee Ibrahim Mnyeto wao wanamuita MZEE
IBURA
Pia namuona baharia wa siku nyingi wa kampuni ya Marine services huyu ni
Kijana Haule,wao umuita handsome boy wa Kampuni,kijana mwili
nyumba,kuna kipindi alikuwa MV.Umoja na sasa yupo MV.Victoria.
Bukobawadau tunatoa pongezi kwa watu wanaoipenda kazi na
kujituma na kuwa na huduma nzuri,majibu mazuri kwa wateja maana
tunatambua msemo usemao;
CHEZEA MSHAHARA ILA USICHEZEE KAZI.....