Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU;Mjuwe Dj Allan Bull na wadau wengine.

Mdau Allon Bull Umande.
Mdau huyu ni miongoni mwa Madj's wakali wa kitambo,kafanya kazi na Marehemu Kalikali,John Peter (Mgiriki)Patantarakis na Niggar J au Mansuri Mansuri,kipindi hicho Ukumbi ni YMCA kabla ya kuamia Msasani Beach na 'The Jet Set Disco Sound'.na Bukoba Mjini Ukumbi wa 'Cont.By Nate'


Kwa sasa Mdau huyu yupo nyumbani Bukoba anaendelea na shughuli nyingine za kiufundi(Electronics).


 Dj Allon Bull bado ana uwezo mkubwa sana wa kucheza na mashine na kucheza  Robot,Pop,Lumba za Colombian,black dence na Chacha.

Kikubwa anawakumbuka sana wadau wake kupitia Bukobawadau kama Buffalo (Kagambo),Ali Mwarusha,Mongolee aka ale ale,Chale Bayona,Chalse Tolo,Self Shahuu, Buruani Muhamud Sadick wa katoro ,Mdau Byamungu , Rashid Goronga , Amin Kaitaba na January Nulite.
 Mdau mbele ya Camera yetu.
Mdau Shukuru Kashinde, Mdau Suedi Kagasheki na Mdau Hamim Kangezi
Hii ni katika hapa na pale na Camera yetu.
Kutoka kushoto ni Mdau Fadhil Ibrahimu na Mdau Shamte Kyobya.
Ndani ya Sadath Boutique nakutana na Mr Whate yeye ni Shop manager.
Ndg Abdallah  Byabusha mdau wa siku nyingi mjini hapa.
Nyumbani kwa Mdau Samwel Blandes kutoka kushoto ni Mdau E. Nyambo. Mdau Ngirwa,Mdau mwenyeji wetu Mzee Samwel Blandes na kulia ni Mdau Mc Baraka blogger bukobawadau.
Masikani kwa Mzee Samwel pande za Magoti Kibeta.
 Mzee Samwel (kushoto) alipotembelea ofisi za Bukobawadau Blogspot.
Maongezi ya hapa na pale kati ya Mdau Mzee Blandes Kushoto na Mc Baraka blogger wa BUKOBAWADAU BLOGSPOT.


Next Post Previous Post
Bukobawadau