Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY DR.FRED ALFRED RWECHUNGURA;

"Bwana Yethu Athifiwe saaaaaana!! Aithee leo ndiyo nimecross rasmi kutoka ujana kuingia utu
uzima. .......years net turned in today. Happy birthday Fuuule! Wahaya wanasema bonzavo Fuledi!"
 
Yalikuwa ni maneno yake mwenyewe Dr. Fred Alfred Rwechungura, Mhadhiri
wa Chuo Kikuu cha Mzumbe (mzaliwa wa Kijiji Kahyoro, Kata Mikoni)
....inaonesha ni kwa namna gani alivyofurahi;

 Ndg Dr Fred  Familia yako inaungana nawewe katika furaha hii kwa kusema;"WAITU WAIHUKA MUNO....bati aluga omubuto bamwihukya",

Bukobawadau katika hili tunakumbuka msemo wa kihaya usemao:"Obukuru bunuza ekitooke"!!!!

Pichani Dr. Fred anaonekana live siku alipokuwa akitunukiwa Shahada yake ya uzamivu (PhD) akiwa na makamanda wake kutoka kulia (dogomwenye shati ya mistari) Flanklin Mulisa, Faith Muhairwe na FlorianMberwa.  
Nyuma yake kushoto ni mdogo wao (Tall a. k. a Msolopa) Kamugisha, Dada  mkubwa Bi Magda, bi Neema, mtoto Murungi Linda Mwesiga, nakulia kabisa ni mamaMurungi(Mrs.Mwesi), na mtoto Lucy.  
BUKOBAWADAU BLOG:"Ntukushabira emirembe ne'migisha ya katonda eila lyoona".!!!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau