HAPPY BIRTHDAY MDAU ALEX ASIEL KAREGA
Birthday cake ya Homeboy Alex Asiel.E. Karega
Mdau Alex Asiel ni kijana wa Mjini hapa kwa sasa yupo Chuo IFM.
Hafla hii imefanyika ufukweni Coco Beach Osterday Dsm.
Hapa ni mda mchache baada ya kuwasili coco beach yupo Mdau Francis, Erick
Barongo(mwenye tshirt nyekundu),Alex Asiel,Rigobert, Straton na Joshua.
Mdau Sufian Jumanne akiwa picha ya pamoja na Birthday boy Alex Asiel.
Anaonekana Mdau Deogratius Lujuo akisaidiana na Alex Asiel katika ukataji wa keki.
Pichani ni Mdau Deo(mwenye miwani),Sufian, Alex na Joshua ni Wadau wanaotoa ushirikia mkubwa katika kupanua wigo wa kufahamika asa kwa wanachuo Wenzao IFM.
Bukobawadau tumeipenda hii namna Mdau Deo na Alex walivyoshiriki kufungua champagne kwa pamoja
BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUTAKIA HAPPY BIRTHDAY NA KILA LA HERI KWAKO!!!!