Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY SUFIAN JUMANNE AND FADHIL MTILI.

Mwonekano wa birthday cake ya  Mdau Ndg  Sufian Jumanne
Kushoto kabisa mwenye mic ni msanii wa the Q band ya south beach na wa pili kushoto  aliyevaa nguo nyeusi ni  Msanii Leah Mudy wa Bongo Star Search.
Katikati anaonekana Mdau  Matrona akishiriki zoezi la ukataji wa keki.
 Kushoto ni Bwana Mdogo Mdau Fadhili na kulia ni Sufian wao ndio ma birthday boys wakilishana keki
Wadau hawa ni wapenzi wa libeneke la Bukobawadau Blog na  Hafla hii fupi imefanyika jana katika fukwe za south beach kigamboni dar es salaam.
 Ma OMG picha ya pamoja kutoka kushoto ni Mdau Francis, Eric, Sufian, Alex ,nelson(alievaa shati nyeupe) na wa mwisho ni Mdau Fadhili.
 Swagger zikiendela wadau wana bhampa side to side,Zimechezwa  Drop kali kama Chop my Money wa wakali P.Square, Facebook ya Dj Cleo na nyingine nyingi,Kikubwa ni ule wimbo wa birthday Cake wa mwanadada Rihanna...

Bukobawadau Blog kwa pamoja tunawapongeza marafiki hawa kwa sikukuu yao ya kuzaliwa na tunawatakia maisha marefu yenye Mafanikio....!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau