HARUSI YA BW.OMARY ABED NA BI AZATH MALICK KALUGIRA YAFANA HII LEO.
Bi Harusi Bi Azath Malick Kalugira na Bwana Harusi Ustaadh Omary Abedi wakiingia ukumbini.
Harusi ya wawili hawa imefanyika hii leo tarehe 9-3-2012 siku moja baada ya siku ya wanawake duniani.
Bi Harusi Azath Malick Kalugira na Bwana harusi Sheikh Omary wakiingia Ukumbini.
BWANA HARUSI USTAADH OMARY ABED AKITABASAMU NA CAMERA YETU
Bwana Harusi Kushoto Seikh Omary Abed mda mchache baada ya kufunga ndoa numbani kwao Bi Harusi.
Mama Juma Kalamulahi(mama mkubwa wa Bi harusi)
Ndg na Jamaa mbalimbali wa Bi Harusi anaonekana Mariam Bukenya,Mama Aziza nadhani wa Kagoma na mwisho kabisa ni Mama Juma Kalamlahi.
Ndg na Jamaa wa Ndg Omary Abedi, hii ni baada ya ndoa nyumbani kwao Bibi Arusi Bi Azath.
Ni bukobawadau blogspot katika kukufikishia matukio mbalimbali yanajili ukanda huu.
Bi Saida mpambe wa Bi Azath.
Baada ya Ndoa Mtu anammiliki mtoto wa watu hakika mwanamke ni Ubavu wa pili katika uhai wa Mwanamme.
Kijana Hamary.
Mama Waziri(Mama Jasimini)na Bi Khadja(Mama Abuba Kabeya)
Mzee wa kazi in action
Sehemu ya wageni waalikwa wakielekea Ukumbini.
Mama Juma,Mama Aziza,Mama Shadia (Hawa)Mama mzazi wa Bi Harusi na Bi Nusura wa Nurag.
Wageni waalikwa katika harusi hii ya Bw na Bi Omary
Ndg Khalid, Mdau Amin katikati na Ndg Twaha katika harakati za kuwapokea wageni ukumbini.
Ndg Jumanne Gee Bingwa akipata Chakula.
Mwonekano wa Mulo
Uncle Khalid katika kujiongeza!!!
Mdau Bushira akiliendeleza na kushoto anaonekana Dulla Kanumba, Amirary na kwenye kiti ni Ndj Jamco Jamal Kalumuna.
Asanteni sana kwa yote.
Mama Mwahija na Binti wake wakipata chakula
Ziada(Mama Issa)na Mama Sauda wa Majengo.
Mwonekano wa kitu menu
Wanafunzi wa madarasa wakiendelea kupata chakula.
Hii wao wanaita (Ekubuza magezi)aka bwashinyanga
Mzee wetu siku nyingi Mzee Kitenge wa Kabeya.
Ustaadh sehemu pia ya waalikwa.
Namna akinamama walivyo jitanda vyema.
Aliyesimama ni Mama Hanifa(wa Chuchu)
Sheikh Ismail Jaffary katibu wa Sheikh Haruna Kichabuta.
Mdau Uncle Nurag kulia
Bi Rehema wa Selemani Bossa, Najiath na Bi Haula sehemu ya familia ya Bi Harusi
Muda wa Malick Batalingaya.
Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa mawaidha kuhusu Ndoa, unaweza ukasikiliza video yetu juu ya alichokisema Sheikh.
Bi Harusi na Mpambe wake( Bi Azath na Bi Saida)
Mama Rama.
Ndg wakijaribu kutadhimini akati sherehe ikiendelea.
Mdau homeboy Riady.
Hakika jamaa wamejipanga vyema katika maswala yote likiwemo na hili linalo endelea.
Anaonekana Mama Abdul Mubaraka(Mbeo)akiteta jambo.
Kama kuna mdau mkubwa wa familia hizi mbili ,basi mama huyu pichani inahusika!!!
Mzee Abdul Kalugira
Mwendesha shughuli nzima ni Abdulkadil Kalugira
Sehemu ya ndg na Jamaa wa Bwana harusi Sheikh Omary Abed.
Mshenga wa Bwana harusi Mwalimu Hadinan
"On the way from Katoma" anaitwa Kabaka
Mjomba Said al-sAQRY
Sheikh Idrisa mwenye mkwaju.
Mzee Salum akisimama kama Mzazi wa bwana harusi,Ndg Omary Abedi mzaliwa wa Tanga
Madarasa ukitumbuiza kwa kaswida safi kabisa ,Unaweza kusikiliza na kuona kupitia video zetu hapo juu!!
Matendo,Ishara, na maelekezo katika mashairi ya kaswida.
Mdau Abdul Kalugira na Mdau Hamad Songoro.
BUKOBAWADAU BLOG TUNAWATAKIA MAISHA MEMA KATIKA NDOA YAO.