Bukobawadau

HARUSI YA HAMZA KAMBUGA NA AZATH HAMZA YAFANA.

Kutoka kulia ni mzee Maulidi Kambuga kaka wa bwana harusi, anayefuata ni Ramadhani kambuga RMK, Hamza Kambuga ambaye ni Bwana harusi,Mzee Zakaria Abdallah na Mzee Abeid.
Ndugu Saidi Badru kwa jina maarufu MANGI kushoto akiwa na Bwana  Ramadhani M kambuga RMK
Ndugu Peter Mugish(OBAMA) akiwa na bwana harusi Engineer Hamza Kambuga.

Bwana harusi na wapambe wake wakiwa jirani na maeneo ya kasiko.
kwa mbali kabisa ni Bi.Hafsa Habibu,haya ni maeneo ya kamachumu katika msikiti wa waarabu IBADHI.
Ndugu Peter Mugisha(kulia)mlezi wa bukobawadau blog akiwa na Mangi saidi katika libeneke la harusi hiyo
Wadau mbalimbali wakibadilishana mawazo katika misingi flani inayotakiwa kulia ni Ndg Abdulmarick Abdallah.
Ndg wa  familia ya  Mzee Maulidi Kambuga
Mwenezi CCM wilaya Ndugu Ramadhani Kambuga kushoto,katikati ni Yunusu Kambuga na Pembeni ni MH.Obama wakiwa nyumbani kwa bibi harusi kamachumu.
Chakula ki tayari,wadau pichani katika mkao wa kula.
Wageni wakipata menu.
 ACTION TIME
Bwana harusi akipongezwa na wadau baada ya kufunga ndoa kushoto anaonekana Ndg  Abdul Basitu (Kandanda ) Jaffar na kulia ni Ndg Abdulmalick Abdallah swaiba mkubwa wa Mzee Kambuga.
Add captionHii ni Bukobawadau katika kukujuza hili na lile japo kwa mkutasari
Bwana Yunusu M Kambuga akiweka sahihi katika cheti cha ndoa kama shaidi wa Bwana Harusi mbele ya Haji Jaffar Sakibu.
Katikati ni Mzee Haji Jaffar Sakibu na kulia ni Mzee Abdul marick Abdallah.
Bibi harusi Azath Hamza
KAMACHUMU!!!nikifikia hapa ukumbuka koo mbalimbali za waarabu kama Ndg Muhamed Alfan(al-saqry),Amry Salum, haji Abdallah nae al -saqry , akina Salum Sophian(al-basel) na Self Kabindi.

 Upande wa Ilogero yupo  Mzee Amin Kalamlah maarufu kama baba Juma na maeneo ya Sokoni ipo familia ya Songoro na  na  pia sio wote ngozi nyeupe waliopo kamachumu ni Waarab kwani kumbukumbu zinaonyesha wapo pia  Wahindi ndio chimbuko la  Iman Masudi.

Huduma za kijamii,kilimo cha ndizi,Upendo wa dhati walionao wakazi wa kamachumu, na Maji ya Kabanga , kujumlisha  kasi ya maendeleo vinazidi kukuza jina la mji huu wa kihistoria !!!!!
Sehemu ya wadau mbalimbali upande wa akina mama.
Tabasamu la Bi Harusi
 Bibi harusi Azath Hamza kushoto akiwa na mama yake mzazi
 Bibi harusi Azath Hamza akiwa na ndugu zake wa kwanza kulia ni  mama yake mzazi
 Bwana harusi Hamza Kambuga akionyesha cheti cha ndoa
 Mzee Maulidi Kambuga ambaye ni kaka wa bwana harusi akitoa neno kwa maharusi
 Mama shani kushoto Akiwa katika picha ya pamoja na maharusi nyumbani kashai
BUKOBAWADAU TUNAWATAKIA MAHARUSI HAWA MAISHA MEMA YENYE BARAKA TELE
Next Post Previous Post
Bukobawadau