HOJA BINAFSI
BUKOBAWADAU
8 Mar, 2012
Katika huu mtiti wa madaktari na serikali, picha ninayoipata ina ukungu. Serikali ina ubavu mzuri tu wa kujitetea, na upande wa madaktari kuna wanaharakati wako vizuri kuwatetea wapate wanachokidai.
Sasa swali wagonjwa wanaoteseka wanatetewa na nani? Au ndo hailipi kuwatetea maana hakuna wafadhili wa hiyo agenda? Au kuwatetea wagonjwa hailipi kisiasa?
BUKOBAWADAU
Bukoba Wadau ni mtandao unao toa habari na matukio yanayo tokea katika mji wa bukoba pamoja na mkoa wa kagera kwa ujumla.
Email:bukobawadau@gmail.com | Phone :Mc baraka:0784 505045, 0754 505043
Instagram @bukobawadau | Facebook @bukobawadau