JENGO LA CM PLAZA LAZINDUA TEKNOLOJIA MPYA YA KUFANYA USAFI IITWAYO ROPE ACCESS
Mkurugenzi
wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu
k Mkurugenzi
wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu
kwa ajili ya kusafisha vioo kwa kutumia teknolojia ya Rope Access
ambayo ni mpya kwa hapa nchini. Aliongeza kuwa ni vyema Watanzania wenye
majengo ni vyema wakajitoa kwa kuitumia teknolojia hii ambayo ni
salama. Na leo kwa mara ya kwanza tokea teknolojia hiyo imeingia nchini
Tanzania wameifanya katika Jengo la CM Plaza lililopo jijini Dar es
Salaam.wa ajili ya kusafisha vioo kwa kutuTanzanatika Jengo la CM Plani Dar
...Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
...Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
Hapa akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa Hapa akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa vingi wala umeme na ni haraka na salavingi wala umeme na ni haraka na salama.