Bukobawadau

KAGERA DARTS ASSOCIATION KUANDAA MASHINDANO YA WIKI.

Wachezaji wa Darts wakiendelea kuchuana hii leo kwenye Ukumbi wa Bukoba Club
Ni karatasi za Orodha za wachezaji wanaotambuliwa na Chama cha Darts Mkoani Kagera (KDA)
Mashindano haya niyamchezaji mmoja mmoja, Pichani anaonekana Ndg Denis akijaribu kuzitafuta point 180 za Darts.
Mzee Raphael Ruta(Mlangira) mmoja wa Wazee wanaoshiriki kwa kiasi kikubwa kuendeleza michezo  na kushiriki kikamilifu Mkoani Kagera.
Ndg God mchezaji wa timu ya DARTS  Mkoa na ni mshiriki katika mashindano haya yanayoendelea.
Mdau Arif akifatilia mpambano...
Hii ni hali ya mashambulizi kati ya mchezo wa Arif Hussen na Ndg Sudi.
Watu wengine michezo kwao ni Jadi,pichani ni Mdau "KIZITO" mchezaji wa zamani wa RTC  Kagera.
Kamisaa wa Mchezo  Mama Maziku akiwajibika.
Wadau hawa pia ni sehemu ya washiriki kutoka kushoto ni Ndg Ndauka na Ndg Jonas.

BUKOBAWADAU TUNAOMBA WADAU WENGINE TUIGE KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO MBALIMBALI  ILI TUJENGE ATA KUFAHAMIANA!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau