LEO NDIO LEO UCHAGUZI KRFA(Kagera Region Football Association)
Ndg Salum Chama akionyesha umakini kabisa kuingia katika kinyanganyiro,Ndg Chama anawania ukatibu wa KRFA.
Al- amin Abdul Mgombea Ujumbe wa mkutano mkuu
wagombea wa ujumbe wa mkutano mkuu Ndg Pelegrinius Alex
Rutaykga na Al-Amin Abdul wakichimbana mkwara kabla ya kuingia ukumbini,Al Amin anadai
yeye anao uwezo mkubwa wa kuongoza hivyo anamwambia Ruta ajitoe,Ruta nae
anadai mimi ni mpambanaji wa muda mrefu kwenye medani hii,tusubiri
tuone!!
Leo ndio medani ya soka mkoa wa kagera inapata sura mpya,anaonekana mgombea nafati ya wenyekiti wa mkoa mjumbe kutoka misenyi JAMAL MALINZI ambae anapambana na Bw. Fhalid AL-QUSAIB.
Pichani mgombea
ukatibu Jacob Kilyaga kabaijo akiwa hana wasiwasi kabla ya uchaguzi
Anaonekana Abdulrazak Majid Mtangazaji 88.5 Kasibante Fm Radio akiteta jambo na Ndg Jacob Kilyanga Kabaijo
Wanaonekana wagombea watatu wa nafasi moja ya ujumbe wa mkutano mkuu,Amin,Ruta na Mzee Mshongi,patachimbika leo
Katibu anae maliza muda wake Ndg Bayona akiwaita wajumbe ukumbini.
Mgombea wenyekiti Bw.Jamal Malinzi akitoa hoja ya kupitia agenda kwa kasi ili kuokoa muda Mjumbe akijibu hoja ya Jamal Malinzi
Mgeni rasmi afisa michezo kutoka mkoani akitoa neno la kufungua kikao
Mjumbe kutoka chama cha marefa bwana Tibaijuka,mwamuzi mstaafu mwenye beji ya FIFA akifatilia mambo na Bwana Chama pembeni
Mgombea ukatibu bwana Lutamigwa akiwa na laptop kwa ajili ya kujikusanyia point za kujieleza baadae,na mzee Uledi mwamuzi wa muda mrefu nae akiwa makini na tukio la leo,
MATUKIO NA PICHA ZOTE KWA HISANI YA KAKA MKUBWA AMBAE HAPO NI MJUMBE MWALIKWA
WAJUMBE WATAMBIANA KWA STAILI ZA KI MJINI KWA VIJEMBE VYA HAPA NA PALE
HEBU TUSUBIRI TUONE BUKOBAWADAU TUTAKUJUZA KITAKACHO.......!!!!!
|